妹妹的任務是應用程序,支持多個家庭得到姐姐的工作。
Familia nyingi nchini Tanzania zina hangaika sana kutafuta na kupata dada wa kazi. App ya Dada Wa Kazi imetengenezwa ili kukurahisishia wewe unae hangaika kutafuta dada wa kazi za ndani atakaye weza kuku saidia kazi kama vile za kupika, kufua, kufanya usafi na kuangalia watoto. Download hii app sasa uone maajabu.