下載“達烏德技術應用”伊犁uweze kujifunza mengi yanayojiri katika Teknolojia
Daud Tech team tumekuletea bonge la aplication inayokwenda kwa jina la "Daut Tech App" Ambayo itakuwa inakujuza masuala mbalimbai ambayo yanajiri kila siku katika masuala mazima ya kiteknolojia, ikiwemo tricks mbalimbali na habari mbalimbali. Usisahau ku-like na ku-comment na ku-share kwa rafiki.