Kumsaidia Fundi Kupata Zawadi Ambayo ni fedha anunuapo vigae vyetu。
APP Yetu ya NUFAIKA NA GOODWILL imelenga hasa kumsaidia Fundi Kupata Zawadi Mara tu anunuapo vigae vyetu kupitia kwa mawakala Wetu au Moja kwa Moja kwenye Kituo chetu cha usambazaji。