Habari Mitandaoni

Mr Mbena
2017年07月25日
  • 10.5 MB

    文件大小

  • Android 4.0+

    Android OS

關於Habari Mitandaoni

Pata kazi kwa haraka, Jifunze kuwa Tajiri pia kuwa wa kwanza kujua kilichotokea

App hii inakuwezesha kupata habari kwa haraka habari yoyote ile iwe nafasi za kazi utazipata kwenye simu yako ndani ya dakika moja toka iandikwe mitandaoni.

App hii inakuwezesha kujifunza ujasiriamali na mambo mengine ya kimaisha kwa lengo la kuboresha maisha yako na kuondoa umaskini.

App hii si ya kukosa kwakua ukiiweka kwenye simu yako hutapitwa na habari yoyote inayotokea tanzania au duniani kwa ujumla sasa wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kusimulia wengine sio wao wakusimulie wewe.

habari za michezo ukitaka kujua matokeo ya mechi mbalimbali zinazochezwa tanzania na duniani kwa ujumla vyote vipo kwenye app hii.

Iweke kwenye simu yako sasa bonyeza install

更多收起

最新版本1.0的更新日誌

Last updated on 2017年07月25日
Pata kazi kwa haraka, Jifunze kuwa Tajiri pia kuwa wa kwanza kujua kilichoandikwa kwenye blog zaidi ya 600 kila siku

Habari Mitandaoni歷史版本

在APKPure極速安全下載應用程式

一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!

下載 APKPure