在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 kopafasta APK 下載。
kopafasta-您的經濟救星
kopafasta ni ya kwanza na inayoongoza kwa mfumo wa QR, huduma inayotoa mikopo midogo inayoleta mguso wa tofauti kwa nchi hii kwa kuimarisha ujumuishaji wa kifedha kwa kutumia teknolojia ya kuaminika ya QR.
Timu yetu hutumia masaa mengi kuwawezesha washiriki waliosajiliwa wa kopafasta kuweza kupata mikopo wakati wowote, mahali popote ilimradi wana kadi halali ya uanachama ya kopafasta iliyothibitishwa pamoja na simu yako ya kiganjani. Tembelea tawi na wakala aliye karibu nawe na ujisajili kama inavyoonyeshwa kwenye programu hii.
Kwa vikundi vingine na kupitia mawakala tembelea tovuti yetu ya www.kopafastasta.co.tz au piga simu +255 742024747