在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 Maktaba APK 下載。
Maktaba ni mtandao wa kwanza wa kipekee Tanzania unaokuwezesha kusoma mtandaoni
Ewe Mzazi/Mwanafunzi
Maktaba ni mtandao wa kwanza wa kipekee Tanzania unaokuwezesha kupata Materials na kusoma bila bando zenye ubora wa Hali ya juu kutoka sehemu mbalimbali Tanzania kwa Bei nafuu kuanzia Tsh.250
1.Notes
2.Mocks/Pastpapers na Mitihani Mbalimbali kila wiki
3.Vitabu
4.Ushauri wa kimasomo
5.Story za mafanikio za wanafunzi Bora kitaifa.
Tunaongoza mtandaoni kwa kutoa elimu Bora!