在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 millard ayo APK 下載。
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, jiunge nami katika app kukaa karibu na mimi.
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, jiunge nami katika app kukaa karibu na mimi:
1.Stori na news zote za millardayo.com zinapatikana hapa kiurahisi.
2.Comment na share stori na washkaj kiurahisi.
3.Pata ujumbe(notification) kwa kila stori mpya nayoipandisha.
4.Hifadhi stori na kuisoma baadae hata kama huna internet baadae (star/ favorites).
5.Na mengine mengi, enjoy& stay updated!