應用程序的補充學生學習理科無需任何費用!
MMG Tuition ina malengo ya kusaidia wanafunzi kuelewa masomo yao ya sayansi vizuri. Ukiwa na app hii, utaweza kutazama video mbalimbali za masomo ya sayansi zinazotengenezwa kila siku. Video hizi zimetengenezwa kulingana na syllabus inayotumika Tanzania.