波利西Jamii套裝 - “免費申請啟用哪裡,當與誰......”
Polisi Jamii ni programu ya simu inayokusanya taarifa kuhusu fununu/matukio mbalimbali ya uhalifu kwa kutumia jamii ikichukua na alama za kijiographia & picha ili kuwezesha kujua wapi matukio yanatokea na kushauri jinsi ya kupunguza/kuondoa uhalifu katika jamii