Sauti ya Mara Pro
5.0 and up
Android OS
關於Sauti ya Mara Pro
Usikose Gazeti lako pendwa(Sauti ya Mara)leo tumekusogezea kwa njia ya mtandao
Nunua sasa uhabarike kila wakati wowote na popote pale ulipo
Kwa sababu tumeona kwamba kuna wakati wateja wetu wanapata shida hasa walio mbali na miji ya mkoa wa Mara sasa tumeona tukusogezee Gazeti lako pendwa liitwalo Sauti ya Mara kwa njia rahisi sana ya kimtandao.
Kwa sasa unaweza kununua gazeti hili kwa njia ya simu janja kwa kutumia mfumo wa Mobile Online Payment, mfumo huu hautegemei wewe kuwa na mtandao fulani tu kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL bali unaweza hata usiwenavyo lakini bado ukatumia Credit Card kununua Gazeti letu.
Vilevile mfumo huu unamruhusu mtu yeyote aliyepo nje ya nchi duniani kote kununua Gazeti letu la Sauti ya Mara kwa kutumia simu janja yake na kukubali aina yoyote ya mfumo wa malipo atakao kuwa anatumia katika nchi yake.
Sisi kama Sauti ya Mara tuko tayari kukusikilizeni, na kupokea maoni na ushauri wenu wakati wowote. Karibu tukuhudumie.
最新版本1.0.2的更新日誌
Sauti ya Mara Pro APK信息
在APKPure極速安全下載應用程式
一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!