Sema Na Mahakama ni mfumo wa kutuma na kufuatilia ,malalamiko,maoni,mapendekezo na pongezi .Sema Na Mahakama inakuwezesha kujua hali ya lalamiko lako kwa kutumia namba ya lalamiko unayopewa kwa ajili ya kufuatilia mrejesho wa aina ya taarifa uliyotuma.
Sema Na Mahakama ni kwa ajili ya wananchi wote.