在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 Tenzi Za Rohoni APK 下載。
Tenzi za rohoni app ni app inayojumlisha kitabu tenzi za rohoni kwa njia ya simu
Tenzi za rohoni App ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni hivyo kukurahisishia kuwepo kwa kitabu hiki kila uendapo.
Yaliyomo:
★kukuza au kufifiza maandishi ili kukuwezesha kuziimba nyimbo vizuri
★nyimbo za kuvutia kama vile:
-bwana uliyewaita
-bwana mungu nashangaa
-bwana mungu nashangaa kabisa
-nina haja nawe
-hunificha
-habari njema
★yanayotarajiwa
-mahadhi au mwendo wa pigo
-kutafuta