Video za kiislamu

RAHA TZA
2019年06月05日
  • 7.9 MB

    文件大小

  • Android 4.1+

    Android OS

關於Video za kiislamu

視頻ZA kiislamu ambazo妮視頻寶來誇烏瑪寶來,

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

Ndugu, Waislamu,

Assalam Alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh

Kwanza kabisa hatuna budi kumshukuru Allah (Subhanahu wata'ala) kwa neema Zake zote alizoturuzuku na kutujaalia kuwa miongoni mwa walioikubali haki na kuifuata. Pia tunamtakia Rehma na Amani Mtume wetu Muhammad (rehema na amani za Allah zimshukie) kipenzi chetu Al- Mustafa aliyeteuliwa kuwa Mjumbe, Muonyaji na Mtoa bishara na Rehma kwa viumbe vyote ulimwenguni.

Yeye ametumwa na muongozo wa Kitabu cha Quran na mafundisho ya Sunna zake. Na kwa hakika bila ya muongozo huu tungekuwamo katika kiza totoro na maangamio makubwa.

Madhumuni yetu makubwa ni kuhabarisha (news) na kukumbusha (mawaidha,nasiha, maswali na majibu n.k) kuhusu mfumo wa Kiislamu.

sisi tunaosimamia mtandao huu tunakusudia kujadili na kuchambua fikra, qadhia na matokeo mbali mbali ya uchumi, jamii nk. Na kuyatolea ufafanuzi kwa mujibu wa mfumo wetu mtukufu wa Kiislamu.

Kwa hivyo, tunapenda kuwakaribisha na kuwaalika Waislamu wote katika mtandao huu ili kushirikiana nasi kwa kutoa michango yao ya fikra na maoni katika kujadili, kusoma na kuusambaza mtandao huu kwa kila wanaemjua ili kuasisi majadiliano kwa nia safi kwa lengo la kukuza ufahamu wa Waislamu.

Tunamuomba Allaah atupe tawfiq katika kazi yake hii na atuzidishie ufahamu na upambanuzi wa haki katika kuelezea na kufikisha ujumbe wake huu kwa Waumini wote Inshaallah.

TANBIH

APP hii haihusiani na Taasisi yeyote wala kundi/Dhehebu lolote tovuti hii inaendeshwa kwa muongozo wa Quran & sunnah utakapoona sehemu yeyote yenye shida usisite kuwasiliana nasi kupitia email yetu kipomio89@gmail.com

Allaah ndie Muweza wa yote na Kwake ndio mategemeo yetu.

Wasalaam.

Ndugu zenu katika Iymaan na Tawhiyd

更多收起

最新版本20.0.3的更新日誌

Last updated on 2019年06月05日
very fast and reliable

Video za kiislamu歷史版本

Video za kiislamu 20.0.3

2019年06月05日7.9 MB
下載

Video za kiislamu 20.0.2

2019年05月28日7.9 MB
下載

Video za kiislamu 19.9.1

2019年03月07日7.5 MB
下載

Video za kiislamu 19.8.1

2019年02月27日7.5 MB
下載

在APKPure極速安全下載應用程式

一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!

下載 APKPure