About Nishike Mkono
Enjoy being a member of Hollywood Nishike
KARIBU UJIUNGE NASI.
Kujiunga nasi ni faida, utajifunza mambo mengi kuhusu Biashara na Ujasiriamali
kila baada ya muda katika tovuti hii kunawekwa makala mbalimbali kuhusu ujasiriamali na biashara, mfano: jinsi ya kutengeneza vifaa na ubunifu mbalimbali, katika biashara pia unaweza kujifunza mambo kadhawakadha kuhusu jisi ya kuendesha biashara yako, jinsi ya kuitangaza,na jinsi ya kuanza biashara hata ikiwa hauna mtaji, ili kufaidaka na yote hayo unapaswa kujisajili hapa kwagharama ya Tsh 5,000 kwa mwaka.
Ukijisajili kuwa mwanachama katika tovuti hii, kwa gharama ya Tsh 5,000 utakuwa hujapata hasara, mbali na kusoma makala mbalimbali, unaweza kumualika ndugu,jamaa,na marafiki kujiunga nao wafaidike, Atakaejiunga kwa kumia link yako utapewa asante ya Tsh 2250. hii haijalisha umeingiza watu wangapi, kila mmoja wao utalipwa 2250
kujisajili tembelea: www.nishikemkono.com
What's new in the latest 4.0
Nishike Mkono APK معلومات
![APKPure آئیکن](https://image.winudf.com/v2/upload/images/icon.png/image.png?fakeurl=1&w=120)
APKPure ایپکےذریعےانتہائی تیزاورمحفوظڈاؤنلوڈنگ
Android پر XAPK/APK فائلیںانسٹالکرنےکےلیےایککلککریں!