Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi!

Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi!

LovingCompany INC.
Jul 29, 2018
  • 10.0

    1 পর্যালোচনা

  • 7.2 MB

    ফাইলের আকার

  • Android 4.1+

    Android OS

Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! সম্পর্কে

Pata elimu, Ujuzi na ufundi wa mapenzi katika darasa letu kongwe la malavidavi

Pata elimu, Ujuzi, ufundi na Darasa la mapenzi katika darasa letu kongwe la malavidavi la

Kona Ya Wakubwa --- Wanaume Tuu!

Utapata kusoma na kujua ujanja wote wa kutongoza, kusuka demu, kumzuzua, kumteka hisia na ile mbinu spesheli ya kumkontrol kama rimoti.

Katika kijiwe hichi cha Kona ya wakubwa utapata kujuzwa mambo mengi sana kuhusu maisha na elimu ya mapenzi, jinsi ya kuishi na mpenzi wako.

Jinsi ya Kutongoza mwanamke yeyote yule na asiweze kukukatalia, Jinsi ya kumfikisha mpenzi wako kileleni na kadha wa kadha..

Pia Badhi ya Mafunzo na elimu uatakayoipata ndani ya app hii ni kama:-

Elimu ya Mahusiano na ndoa

Jinsi ya Kuwa mtundu na Kufaidi Utamu wote wa chumbani.

Utaweza Kufahamu Siri zote za Mapenzi,

Utapata Ushauri wa Mapenzi katika nyanja mbali mbali kutoka kwa Wazoefu na maKungwi wa Simulizi nzuri za Mapenzi za Kusisimua.

SMS nzuri na Tamu za Mapenzi

.

Hakika Ukiwa na App Hii ya Kona Ya Wakubwa, Itakufanya ewe kijana kuwa ni mwanaume kamili, mwanaume wa shoka au yuleeeee tunaemuitaga mwanaume Lijari. Na hii itakufanya uone kweli mapenzi ni Mubashara kwani utakuwa umebobea kwa kuwa mjuzi wa Mbinu mbalimbali za mapenzi na za kuboresha mapenzi uliyonayo

Pata Elimu ya Mapenzi katika kijiwe cha Dunia na Sayari ya Mapenzi . Pia ushauri juu ya maswala afya yamepewa kipaumbele katika app yetu pendwa.,

আরো দেখান

What's new in the latest 3.0

Last updated on 2018-07-29
English Version of app added
Modified Design
আরো দেখান

ভিডিও এবং স্ক্রিনশট

  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! পোস্টার
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 1
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 2
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 3
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 4
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 5
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 6
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! স্ক্রিনশট 7
APKPure আইকন

APKPure অ্যাপের মাধ্যমে অতি দ্রুত এবং নিরাপদ ডাউনলোড করা হচ্ছে

Android-এ XAPK/APK ফাইল ইনস্টল করতে এক-ক্লিক করুন!

ডাউনলোড করুন APKPure
thank icon
আমরা আপনার ব্যবহারকারীর অভিজ্ঞতা বাড়ানোর জন্য এই ওয়েবসাইটে কুকি এবং অন্যান্য প্রযুক্তি ব্যবহার করি।
এই পেজে কোনো লিঙ্কে ক্লিক করে আপনি আমাদের Privacy Policy and কুকি নীতিতে আপনার সম্মতি দিচ্ছেন।
আরো জানুন