• 4.0 MB

    Tamanho do arquivo

  • Android 4.1+

    Android OS

Sobre este MAKAZI

Ramani za Nyumba, Makadirio, Mafundi, Ushauri, Viwanja, Vifa ktk Ujenzi Makazi!

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wou kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA, UHAKIKA na UNAFUU zaidi!

Fanikisha Nyumba e Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Raman za nyumba za kisaa, Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu, Kuunganishwa na mafundi ujenzi, Kufanya makadirio ya gharama na vifaa, Kuunganishwa na wauzaji wa vwaa na viwanja vya makazi. Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze na kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi.

Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa. Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba e ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba, Makadirio, Ushauri, Mafundi, Vifaa, Viwanja…!

Mostrar maisMostre menos

Novidades em 3.7.0 mais recente

Last updated on 2020-01-21
Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links

Versões Antigas de MAKAZI

MAKAZI 3.7.0

Jan 21, 20204.0 MB
Baixar

MAKAZI 2.5.0

Jul 31, 20193.6 MB
Baixar

MAKAZI 1.0

Sep 7, 20234.5 MB
Baixar

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App

Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!

Baixar APKPure