• 4.0 MB

    Bestandsgrootte

  • Android 4.1+

    Android OS

Over MAKAZI

Ramani za Nyumba, Makadirio, Mafundi, Ushauri, Viwanja, Vifaa ktk Ujenzi Makazi!

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA, UHAKIKA na UNAFUU zaidi!

Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa, Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu, Kuunganishwa na mafundi ujenzi, Kufanya makadirio ya gharama na vifaa, Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viwanja vya makazi. Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi.

Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa. Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba, Makadirio, Ushauri, Mafundi, Vifaa, Viwanja ...!

Meer InfoMinder Info

What's new in the latest 3.7.0

Last updated on 2020-01-21
Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links

Oude versies van MAKAZI

MAKAZI 3.7.0

Jan 21, 20204.0 MB
Downloaden

MAKAZI 2.5.0

Jul 31, 20193.6 MB
Downloaden

MAKAZI 1.0

Sep 7, 20234.5 MB
Downloaden

Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app

Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!

Downloaden APKPure