Mauzo
diioTZ Labs
May 3, 2021
Sobre este Mauzo
Esta aplicação é usada para gerenciar pequenas empresas.
Mauzo App aplicação ni inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama Biashara yako inatengeneza Faida.
Hutumika katiika Biashara Ndogo na za kati zinazojiusisha na kununua na bidhaa kuuza, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (dados) zako zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.
Novidades em 1.5.2 mais recente
Last updated on 2021-05-03
Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
Informações sobre Mauzo APK
Última Versão
1.5.2
Categoria
CorporativoAndroid OS
Android 4.4+
Tamanho do arquivo
10.0 MB
Desenvolvedor
diioTZ LabsDownloads seguros e rápidos de APK no APKPure
O APKPure usa verificação de assinatura para garantir downloads de APK Mauzo sem vírus para você.
Versões Antigas de Mauzo
Mauzo 1.5.2
10.0 MBMay 3, 2021
Mauzo 0.0.7
9.4 MBOct 7, 2019
Mauzo 0.0.6
9.4 MBJan 20, 2019
Mauzo 0.0.5
9.4 MBJun 29, 2018
Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!