Mauzo
diioTZ Labs
May 3, 2021
Mengenai Mauzo
Permohonan ini digunakan untuk menguruskan perniagaan kecil.
Mauzo App permohonan ni inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia Kujua kama Biashara Yako inatengeneza Faida.
Hutumika katiika Biashara Ndogo na za kati zinazojiusisha na kununua na kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa huduma
Hauitaji Kuwa na Intaneti (inatumika luar talian). Intaneti inatumika Wakati wa kujisajili na Wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) Zako zinatunzwa kwenye Simu Yako tu. Hakuna mtu Anaweza kuziona zaidi Yako wewe.
What's new in the latest 1.5.2
Last updated on 2021-05-03
Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
Maklumat APK Mauzo
Muat turun APK Selamat & Cepat di APKPure
APKPure menggunakan pengesahan tandatangan untuk memastikan muat turun APK Mauzo tanpa virus untuk anda.
Versi lama Mauzo
Mauzo 1.5.2
10.0 MBMay 3, 2021
Mauzo 0.0.7
9.4 MBOct 7, 2019
Mauzo 0.0.6
9.4 MBJan 20, 2019
Mauzo 0.0.5
9.4 MBJun 29, 2018
Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure
Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!