Mkulima Mbunifu
Sobre este Mkulima Mbunifu
App inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Site yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Site) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-mail: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
**************************************************** ***************
Soluções Android.
Projetado por;
Soluções Mshindo Android.
WhatsApp: +255 762 799 080.
E-mail: [email protected]
Novidades em 2.0 mais recente
Informações sobre Mkulima Mbunifu APK
Versões Antigas de Mkulima Mbunifu
Mkulima Mbunifu 2.0
Mkulima Mbunifu 1.9
Mkulima Mbunifu 1.2
Mkulima Mbunifu 1.1
Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!