About Mkulima Mbunifu
App inayotoa mafunzo yanayomuwezesha Mkulima katika nyanja mbalimbali kiuchumi.
App inayotoa mafunzo na Makala mbalimbali katika Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
*****************************************************************
Android Solutions.
Designed by;
Mshindo Android Solutions.
WhatsApp: +255 762 799 080.
Email: [email protected]
What's new in the latest 2.0
Mkulima Mbunifu APK Information
Old Versions of Mkulima Mbunifu
Mkulima Mbunifu 2.0
Mkulima Mbunifu 1.9
Mkulima Mbunifu 1.2
Mkulima Mbunifu 1.1

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!