Sobre este SMS ZA MAPENZI KISWAHILI
Meseji moto za mapenzi kiswahili
Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfuraisha, basi utazipata kwenye app hii. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.
Natumahi yakuwa umepata app ambayo umetafuta kwa muda.
Asante kwa kutazama page yetu!
Novidades em 2.500.100 mais recente
Informações sobre SMS ZA MAPENZI KISWAHILI APK
Versões Antigas de SMS ZA MAPENZI KISWAHILI
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 2.500.100
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 2.400.100
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 2.00.005
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 1.0

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!