SMS ZA MAPENZI KISWAHILI
Over SMS ZA MAPENZI KISWAHILI
Meseji moto za mapenzi kiswahili
Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfurahisha, basi utazipata kwenye app hii. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tonijn hizo meseji kwa wingi.
Natumahi yakuwa umepata app ambayo umetafuta kwa muda.
Asante kwa kutazama pagina yetu!
What's new in the latest 2.500.100
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI APK -informatie
Oude versies van SMS ZA MAPENZI KISWAHILI
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 2.500.100
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 2.400.100
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 2.00.005
SMS ZA MAPENZI KISWAHILI 1.0
Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app
Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!