Tafakari Injili


1.0 por AlberaInfoTech
Jan 30, 2022

Sobre Tafakari Injili

Jifunze neno la Mungu kwa njia ya Tafkari, Maswali na Masomo mbalibali.

Hii ni app ambayo imeandaliwa mahususi kwa lengo la kusaidia mkristo kukua kiroho kupitia vipengele mbalimbali vilivyo jumuishwa ndani yake ikiwa ni pamoja na Kipengele cha:

1: Aya Za Biblia

Hapa tunapata Aya mbalimbali za Biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani, Imani, Família, Upendo, Ahadi za Mungu, Ulinzi wa MUngu, Uvumilivu, Kushinda Hofu n.k. Yote ikiwa na lengo la kuwasaidia namna ya kusimamia neno la Mungu kulingana na halia ama changamoto wanazopitia

2: Nukuu

Maneno mbalimbali kutoka kwa walimu wa mafundisho ya neno la Mungu na kutoka kwa watumishi mbalimbali wa Mungu ambayo yatatusaidia kusimama kiimani na kukuza imani yetu ndani ya Mungu katika Kristo Yesu.

3: Tafakari Fupi

Kutoka katika sura fulani ya biblia na kulingana na ROHO MTAKATIFU ​​atakavyotuongoza atakavyotuongoza tunapata tafakari ya neno la Mungu ambayo inatupa uelewa wa kina kuhusu jambo fulani katika katika maisha, kwa leno la kukuza imani na kutupa kenzo ya kukuza tiuika na kutupa kenzoi kukuza ainda mapa imani na kutupa nenza kukuza imani kutupa kenzati ya kukuza tuieze kutieze kenzieze kenzatye ainda tenzieze tenzieze kenzieze kenzieze mapa de wahaoye ainda imani na kutupa nenzei wa kukuza imani na kutupa nenzei wa kukuza imani na kutupa nenzei wa kukuza tuiieze kutieze kenziezi maisha mapa de kukuza na kutupa nenzei kukuza ainda Mungu.

4: Masomo

Tunatazamia kuwa na masomo yanayo husu maeneo mbalimbali katika Imani na maisha, ambayo yatakuwa na mtiririko mzuri kuanzia sehemu ya kwanza Hadi ya mwisho. Kwa mfano tunaweza kuwa na masomo yanayohusu "IMANI", "NGUVU YA DAMU YA YESU", "MALANGO", "NDOA", "MALEZI NA FAMILIA" Hivyo kipengele hiki kitatoa fursa za kuelika vitakita kwa kina vitakita kwa kinao havaida 7 za kuelezea kwa kina vitakita vymbuli havai vitai vymbuli vita kwi vitai hambulita kwa vitai hambuli vitai vitai vitai hambuli vitai vita ku vitai havai vitai hambuli havata kwaengi vitakita kwa ymbuli vitai hambuli vitai hambuli vitai vymbuli havata kwa ku vitai havai havatai vymbulika mtiririko mzuri.

3: Aya ya siku / ujumbe wa siku

Kupitia app kila siku utakuwa unapokea Aya kutatoka sura tofauti tofauti za biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani, Imani, Familia, Upendo, Ahadi za Mungu, Ulinivu, Ulinivu. Yote ikiwa na lengo la kutiana moyo, kukumbusha ahadi a Mungu, kukumbusha maangizo ya Mungu na kwa ujumla vigília kukuza Imani kama mtoto wa Mungu hasa kulinga na halifulani ya maisha ambayo mtu anapitia

Unaweza kutumia aya hizi kumshirikisha Ndugu, rafiki, jamaa na Watu wengine, kuwainjilisha, kuwaongoza na kuwashauri ikiwa wapo kwenye uhitaji wa Namna HiYo, tukizingatia kuwa uhitaji wetu kiroho na kimwili ni tofauti kwa kila mtu na sio Watu Wote wana maandiko ya kutosha ndani yako ambayo yanaweza kuwasaidia kuvuka katika changamoto mbalimbali ama kuzitumia kumshinda shetani.

4: Game / mchezo

Huu ni mchezo wa maswali na majibu kutoka katika sura mbalimbali za biblia, ambazo zimegawanyika katika makundi matatu,

- Moja maswali kutoka agano jipya,

- Pili maswali kutoka Agano la kale na

- Tatu mchanganyiko wa Maswali kutoka Agano jipya na la Kale.

Lengo kubwa ni kuongeza uelewa na ufahamu katika kusoma biblia Kwa watoto na watu Wazima pia ambao watakuwa na swali fulani ambalo wanaweza kujibu na kupima uelewa wao katika maandiko.

5: Ujumbe kwa njia ya Sauti

- Katika kipengele hiki Tunatazamia kuwa jumbe mbalimbali za neno la Mungu na masomo vitapatikana pamoja na Nyimbo za injili ambapo watu wanaweza kusikiliza na kupakua bila shida yoyote.

6: Kipengele Cha mawasiliano

Hapa tutajikita zaidi katika masuala ya Maoni, ushauri na maswali ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, Basi uwanja huu utamfaa sana.

Zab 54: 4

Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.

Flp 4:13

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

Tuombeane katika kuitenda kazi ya Bwana.

Mungu asema: “Nitakufunza na kukuonesha njia unayopaswa kufuata. Nitakushauri kwa uangalifu mkubwa.

Informações Adicionais do Aplicativo

Última versão

1.0

Enviado por

Kumbhar Irfan

Requer Android

Android 4.1+

Disponível em

Mostrar mais

Usar o APKPure APP

Obter o APK da versão antiga de Tafakari Injili para Android

Baixar

Usar o APKPure APP

Obter o APK da versão antiga de Tafakari Injili para Android

Baixar

Alternativa de Tafakari Injili

Obtenha mais de AlberaInfoTech

Descobrir