Tafakari Injili

AlberaInfoTech
Feb 20, 2022
  • 12.0 MB

    Dosya Boyutu

  • Android 4.1+

    Android OS

Tafakari Injili hakkında

Jifunze neno la Mungu kwa njia ya Tafkari, Maswali ve Masomo mbalibali.

Hii ni uygulaması ambayo imeandaliwa mahususi kwa lengo la kusaidia mkristo kukua kiroho kupitia vipengele mbalimbali vilivyo jumuishwa ndani yake ikiwa ni pamoja na Kipengele cha :

1:Aya Za Biblia

Hapa tunapata Aya mbalimbali za Biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama aşağılık Aya zinazohusu Amani,Imani, Familia,Upendo,Ahadi za Mungu,Ulinzi wa MUngu, Uvumilivu, Kushinda Hofu n.k. Yote iki wa na lengo la kuwasaidia namna ya kusimamia neno la Mungu kulingana ve halia ama changamoto wanazopitia

2: nukuu

Maneno mbalimbali kutoka kwa walimu ve mafundisho ya neno la Mungu na kutoka kwa watumishi mbalimbali ve Mungu ambayo yatatusaidia kusimama kiimani ve kukuza imani yetu dani ya Mungu katika Kristo Yesu.

3:Tafakari Fupi

Kutoka katika suresi fulani ya biblia, kulingana ve ROHO MTAKATIFU ​​atakavyotuongoza tunapata tafakari ya neno la Mungu ambayo inatupa uelewa ve kina kuhusu jambo fulani katika maisha, kwa leno la kukuza henüz imani na wa kutupa muongo harita Mungu.

4:Masomo

Tunatazamia kuwa na masomo yanayo husu maeneo mbalimbali katika Imani na maisha, ambayo yatakuwa ve mtiririko mzuri kuanzia sehemu ya kwanza Hadi ya mwisho. Kwa mfano tunaweza kuwa na masomo yanayohusu "IMANI" , "NGUVU YA DAMU YA YESU" , "MALANGO" , "NDOA", "MALEZI NA FAMILIA "Hivyo kipengele hiki kitatoa fursa za kuelezea kwaleham kinavipengaeu hataka mtiririko mzuri.

3:Aya ya siku/ujumbe wa siku

Kupitia uygulaması kila siku utakuwa unapokea Aya kutatoka suresi tofauti tofauti za biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama aşağılık Aya zinazohusu Amani,Imani, Familia,Upendo,Ahadi za Mungu,Ulinzi wa MU. Yote ikiwa na lengo la kutiana moyo, kukumbusha ahadi a Mungu,kukumbusha maangizo ya Mungu na kwa ujumla wake kukuza Imani kama mtoto wa Mungu hasa kulinga ve halifulani ya maisha ambayo mtu anapitia

Unaweza kutumia aya hizi kumshirikisha ndugu, rafiki, jamaa na watu wengine, kuwainjilisha, kuwaongoza ve kuwashauri ikiwa wapo uhitaji wa namna hiyo, tukizingatia kuwa uhitaji wetu kiroho ve nauwili yanaweza kuwasaidia kuvuka katika changamoto mbalimbali ama kuzitumia kumshinda shetani.

4:Oyun/mchezo

Huu ni mchezo wa maswali ve majibu kutoka katika sura mbalimbali za biblia, ambazo zimegawanyika katika makundi matatu,

-- Moja maswali kutoka agano jipya,

-- Pili maswali kutoka Agano la kale na

-- Tatu mchanganyiko ve Maswali kutoka Agano jipya na la Kale.

Kubwa ni kuongeza uelewa ve ufahamu katika kusoma biblia Kwa watoto na watu Wazima pia ambao watakuwa ve swali fulani ambalo wanaweza kujibu ve kupima uelewa wao katika maandiko.

5: Ujumbe kwa njia ya Sauti

--Katika kipengele hiki Tunatazamia kuwa jumbe mbalimbali za neno la Mungu ve masomo vitapatikana pamoja ve Nyimbo za injili ambapo watu wanaweza kusikiliza ve kupakua bila shida yoyote.

6:Kipengele Cha mawasiliano

Hapa tutajikita zaidi katika masuala ya Maoni,ushauri ve maswali ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, Basi uwanja huu utamfaa sana.

Zab 54:4

Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.

flp 4:13

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

Tuombeane katika kuitenda kazi ya Bwana.

Mungu asema: “Nitakufunza na kukuonesha njia unayopaswa kufuata. Nitakushauri kwa uangalifu mkubwa.

Daha Fazla GösterDaha az göster

What's new in the latest 1.0

Last updated on Feb 20, 2022
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Tafakari Injili'in eski sürümleri

APK Uygulaması ile Süper Hızlı ve Güvenli İndirme

XAPK/APK dosyalarını Android'e yüklemek için tek tıkla!

İndir APKPure