在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 AJIRA TANZANIA APK 下载。
Nafasi za Kazi,Scholarships,Vyuo,Shule 2019
Ajira Tanzania ni application ya Ajira Kwa simu za Android . Application hii itakusaidia kupata matangazo mapya ya kazi kutoka Serikalini na Sekta Binafsi kwa urahisi zaidi.
Katika Application Hii Utakutana na
1. Matangazo Mapya ya Kazi Kila Baada ya Saa Kwa Siku nzima
2. Utapata elimu kuhusu Usaili au Interview, namna ya Kuandika Barua za maombi ya kazi
3. Samples za CV na Barua za Kuombea kazi
4. Utapata Matangazo ya Fursa Mpya za Scholarships Kila Siku
Unasubiri nini Kupakua app hii?.