在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 All NECTA Past Papers APK 下载。
Pata Past Papers zote pamoja na Matokeo Yote Ya Mitihani (NECTA)
App hii inakuwezesha mtumiaji kuweza kusoma maswali ya mitihani yote ya nyuma ya kitaifa (Past Papers) za madarsa yote ya mitihani kama vile:
• Darasa la Nne
• Darasa la Saba
• Kidato Cha Pili
• Kidato Cha Nne
• Kidato Cha Sita
Vilevile app hii inakuwezesha kupata matokeo yote ya Mitihani ya Taifa (NECTA):
• Darasa la Nne
• Darasa la Saba
• Kidato Cha Pili
• Kidato Cha Nne
• Kidato Cha Sita