在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 Kijiweni APK 下载。
Varies with device
Android OS
Karibu kijiweni ujumuike na majamaa na marafiki !!!
Kijiweni ni app ya kijamii imayokuwezesha kuwasiliana na majamaa na marafiki.
Unaweza ku'chat' na wananzengo, kuanzisha vijiwe na kukaribisha marafiki na jamaa zako ili kushirikishana taarifa kuhusu maada inayoendana na Kijiwe chenu.
Pia unaweza kujiunga na vijiwe mbalimbali ambayo wanaKijiwe wameanzsha na kuweza kuchangia maada yako.
Karibu!!!
一键安装安卓XAPK/APK文件!