Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya tanzania kila siku asuuhi na mapema
Magazeti Tanzania ni app inayokuwezesha kupitia magazeti kiganjani mwako kujua taarifa zilizoandikwa katika magazeti yote ya tanzania , pia itawasaidia wale wanunuzi wa magazeti kujua habari na kilichoandikwa katika magazeti kabla yakutoka nakwenda kununua