Nyimbo Za Kristo
20.0 MB
文件大小
Android 5.0+
Android OS
关于Nyimbo Za Kristo
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili。
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP)。
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote、Nyimbo za kuburudisha、kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni。
Sifa za 程序 ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa 斯瓦希里语、kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo。
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine,pia unaweza kuuondoa 苍白 unapoona inafaa。
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi。
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti(感谢 hymnserve.com
伴奏)。
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
伊法阿。
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza。
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi。
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza 男子气概。
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
utukufu wa Mungu。
最新版本2 . 3 . 2的更新日志
Nyimbo Za Kristo APK信息
Nyimbo Za Kristo历史版本
Nyimbo Za Kristo 2 . 3 . 2
Nyimbo Za Kristo 2 . 3 . 0
Nyimbo Za Kristo 2 . 2 . 8
Nyimbo Za Kristo 2 . 2 . 5
在APKPure上极速安全下载应用
一键安装安卓XAPK/APK文件!