在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 O - LEVEL Past Papers APK 下载。
啪嗒Maswali雅Mitihani Iliyopita(历届试题)Baada雅Kupakua II移动应用
Jipatie maswali ya mitihani iliyopita (Past Paper & Quizzes) kwenye simu yako ya mkononi kupitia mobile app ya O - Level Past Papers.
Wanafunzi / walimu wa kidato cha pili (II) na nne (IV) wanaweza kupakua mobile app ya O - Level Past Papers kwa ajili ya kupata maswali ya mitihani ya taifa iliyopita kama njia mojawapo ya kujiandaa na mitihani ya Taifa ambayo inafanyika kila mwaka.
Past papers za masomo yote zinapatikana kwenye ii mobile app bure kabisa!!