教师论坛是一个将中小学教师聚集在一起的论坛
Walimu Forums ni forum inayowakutanisha walimu wa shule za sekondari na shule za msingi kujadili kwa pamoja, kuboresha elimu na kubadilishana uzoefu katika idara ya elimu Tanzania. Pia walimu watapata fursa ya kubadilishana uzoefu wa shughuli za kijasiliamali pia na kubadilishana vituo vyao vya kazi.