Pata taarifa za Timu ya Yanga hapa,Moja ya Timu kubwa sana nchini坦桑尼亚
Yanga Sports Club ni moja ya timu kongwe na tishio nchini Tanzania. Kwa taarifa za timu hii fuatilia kupitia app hii, utapata ratiba za mechi zao, mechi walizokwisha kucheza, mipango ya kimaendeleo waliyo nayo sasa, pamoja na mambo kadha wa kadha yanayoihusu timu hii. Usikose kufuatilia na yamkini kupitia app hii utapata kujua kwanini timu hii inaitwa "TIMU YA WANANCHI"