EliMu Ya AfYa

Star X
Feb 6, 2019
  • 7.5 MB

    Dateigröße

  • Android 4.1+

    Android OS

Über EliMu Ya AfYa

Pakua app hi kwa eliminieren ya afya yako auf kupata ushauri pamoja auf kuijua afya yak

Elimu ya afya ni App ambayo ina makala zakutosha sana zitakazo kujuza kuhusu Afya. App hii ya Elimu ya Afya itakusaidia sana kujua mambo mengi ambayo huyajui kuhusu afya yako pia itakusaidia kuuweka mwili wako katika hali nzuri na kujua jinsi ya kuutunza mwili wako kupitia afya ata ukiwa nyumbani kwa kupakua app hii itakufanya kila siku kukupa makala mpya za afya. App hii inakupaa mambo mengi sana yausihayo na afya kama yafuatayo

Afya ya uzazi

Afya kuhusu magonjwa

Chakula bora

jinsi ya kufanya mazoezi kila siku

bila kusahau ushauri kuhusu afya yako

App hii pia itakufanya afya yangu na yako pia ziwe bora kila siku

Bila kusahau dondoo za afya pia utazipata apa ni mahali sahihi kwa afya yako ni bora uilinde afya yako.

pakua app hii upate kuishi ukiwa na afya bora kila siku.

Mehr anzeigenWeniger anzeigen

What's new in the latest 1.2

Last updated on Feb 6, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Alte Versionen von EliMu Ya AfYa

Superschnelles und sicheres Herunterladen über die APKPure-App

Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!

Download APKPure