EliMu Ya AfYa

Star X
2019年02月07日
  • 7.5 MB

    文件大小

  • Android 4.1+

    Android OS

關於EliMu Ya AfYa

Pakua app hi kwa elimu ya afya yako na kupata ushauri pamoja na kuijua afya yak

Elimu ya afya ni App ambayo ina makala zakutosha sana zitakazo kujuza kuhusu Afya. App hii ya Elimu ya Afya itakusaidia sana kujua mambo mengi ambayo huyajui kuhusu afya yako pia itakusaidia kuuweka mwili wako katika hali nzuri na kujua jinsi ya kuutunza mwili wako kupitia afya ata ukiwa nyumbani kwa kupakua app hii itakufanya kila siku kukupa makala mpya za afya. App hii inakupaa mambo mengi sana yausihayo na afya kama yafuatayo

Afya ya uzazi

Afya kuhusu magonjwa

Chakula bora

jinsi ya kufanya mazoezi kila siku

bila kusahau ushauri kuhusu afya yako

App hii pia itakufanya afya yangu na yako pia ziwe bora kila siku

Bila kusahau dondoo za afya pia utazipata apa ni mahali sahihi kwa afya yako ni bora uilinde afya yako.

pakua app hii upate kuishi ukiwa na afya bora kila siku.

更多收起

最新版本1.2的更新日誌

Last updated on 2019年02月07日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

EliMu Ya AfYa歷史版本

EliMu Ya AfYa 1.2

2019年02月07日7.5 MB
下載

EliMu Ya AfYa 1.1

2018年09月03日7.4 MB
下載

在APKPure極速安全下載應用程式

一鍵安裝安卓XAPK/APK文件!

下載 APKPure