Vielen Dank für Ihre Bewertung und Ihr Feedback!
Sie haben bereits bewertet.
Simamia mikopo, wakopaji, marejesho na ripoti za taasisi yako ya fedha.
Das beste Programm für die Reise nach Tansania. Imetengenezwa hat mir Mikrofinanzierung, SACCOS, VICOBA auf der ganzen Welt zur Verfügung gestellt, oder ich habe sie in Excel umgedreht.
USIMAMIZI WA WAKOPAJI
Sajili mkopaji mara moja, kisha fungua historia yake wakati wowote – mikopo aliyopewa, aliyolipa, na kilichobaki. Tafuta kwa jina au namba ya simu kwa sekunde.
MIKOPO NA MAREJESHO
Andika mkopo na ratiba yake ya marejesho. Es gibt viele Leute, die nicht wissen, wer es ist, aber nichts. Pokea marejesho na tengeneza risiti papo hapo.
RIPOTI ZA KWELI
Ona faida halisi kwa kipindi unachochagua – riba iliyopokelewa, hasara, mtaji uliotolewa na uliorejeshwa. Sie haben es geschafft, sich zurechtzufinden, und Sie werden es lieben, aber Sie werden es kaum erwarten, es zu tun. Der Inhalt der CSV-Datei wurde geändert und geändert.
UJUMBE WA SMS
Mtumie mkopaji ukumbusho wa malipo, taarifa ya kuchelewa, au risiti – moja kwa moja kutoka kwenye programu.
WATUMISHI NA RUHUSA
Sie haben folgende Vorteile: Kusajili Wakopaji, Kutoa Mikopo, Kupokea Marejesho, Kutuma SMS, Kuona Ripoti. Kila kitendo kinaandikwa kwenye kumbukumbu.
WASIFU WA UMMA
Fungua wasifu wa taasisi yako ili wateja wanaotafuta huduma za kifedha wakupate – jina, mahali, namba ya simu na huduma unazotoa. Sie haben die Möglichkeit, gleichzeitig Schiedsrichter zu werden, und können so viele neue Programme erstellen.
KWA WATEJA
Tafuta taasisi za fedha zilizosajiliwa zilizo karibu nawe, ona mahali ziliko, kisha uwaombe wakupigie. Ni bure, na wewe ndiye unayechagua.
MUHIMU
Kopesha haitoi mikopo, haipokei maombi ya mkopo, wala haiamui nani apate mkopo. Das Programm ist nicht nur für Kinder geeignet, sondern auch für viele andere. Es ist nicht zu übersehen, dass die Menschen, die sich um sie kümmern, sich nicht um sie kümmern müssen.
Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!