Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies

Über Tafakari Injili

Jifunze neno la Mungu kwa njia ya Tafkari, Maswali na Masomo mbalibali.

Hii ni app ambayo imeandaliwa mahususi kwa lengo la kusaidia mkristo kukua kiroho kupitia vipengele mbalimbali vilivyo jumuishwa ndani yake ikiwa ni pamoja na Kipengele cha:

1:Aya Za Biblia

Hapa tunapata Aya mbalimbali za Biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani,Imani, Familia,Upendo,Ahadi za Mungu,Ulinzi wa Mungu, Uvumilivu, Kushinda Hofu n.k. Yote ikiwa na lengo la kuwasaidia namna ya kusimamia neno la Mungu kulingana na halia ama changamoto wanazopitia

2: Nuku

Maneno mbalimbali kutoka kwa walimu wa mafundisho ya neno la Mungu na kutoka kwa watumishi mbalimbali wa Mungu ambayo yatatusaidia kusimama kiimani na kukuza imani Yetu ndani ya Mungu katika Kristo Yesu.

3:Tafakari Fupi

Kutoka katika sura fulani ya biblia na kulingana na ROHO MTAKATIFU ​​atakavyotuongoza tunapata tafakari ya neno la Mungu ambayo inatupa uelewa wa kina kuhusu jambo fulani katika maisha, kwa leno la kutkuza maitika na zo Yeta kuya ku kuyuka kamaifan na zo Mungu.

4:Masomo

Tunatazamia kuwa na masomo yanayo husu maeneo mbalimbali katika Imani na maisha, ambayo yatakuwa na mtiririko mzuri kuanzia sehemu ya kwanza Hadi ya mwisho. Kwa mfano tunaweza kuwa na masomo yanayohusu "IMANI", "NGUVU YA DAMU YA YESU", "MALANGO", "NDOA", "MALEZI NA FAMILIA" mtiririko mzuri.

3:Aya ya siku/ujumbe wa siku

Kupitia app kila siku utakuwa unapokea Aya kutatoka sura tofauti tofauti za biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani,Imani, Familia,Upendo,Ahadi za Mungu,Ulinzivwa za Mungu,Ulinziwa Yote ikiwa na lengo la kutiana moyo, kukumbusha ahadi a Mungu, kukumbusha maangizo ya Mungu na kwa ujumla wecken kukuza Imani kama mtoto wa Mungu hasa kulinga na halifulani ya maisha ambayo mtu anapitia

Unaweza kutumia aya hizi kumshirikisha ndugu, rafiki, jamaa na watu wengine, kuwainjilisha, kuwaongoza na kuwashauri ikiwa wapo kwenye uhitaji wa namna hiyo, tukizingatia kuwa uhitaji k wetu wili yanaweza kuwasaidia kuvuka katika changamoto mbalimbali ama kuzitumia kumshinda shetani.

4: Spiel/Mchezo

Huu ni mchezo wa maswali na majibu kutoka katika sura mbalimbali za biblia, ambazo zimegawanyika katika makundi matatu,

-- Moja Maswali Kutoka Agano Jipya,

-- Pili maswali kutoka Agano la kale na

-- Tatu mchanganyiko wa Maswali kutoka Agano jipya na la Kale.

Lengo kubwa ni kuongeza uelewa mit ufahamu katika kusoma biblia Kwa watoto mit watu Wazima pia ambao watakuwa mit Swali fulani ambalo wanaweza kujibu mit kupima uelewa wao katika maandiko.

5:Ujumbe kwa njia ya Sauti

--Katika kipengele hiki Tunatazamia kuwa jumbe mbalimbali za neno la Mungu na masomo vitapatikana pamoja na Nyimbo za injili ambapo watu wanaweza kusikiliza na kupakua wie shida yoyote.

6: Kipengele Cha mawasiliano

Hapa tutajikita zaidi katika masuala ya Maoni, ushauri na maswali ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, Basi uwanja huu utamfaa sana.

Zab 54:4

Tazama, Mungu-ndiye-Anayenisaidie; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.

Flp 4:13

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

Tuombeane katika kuitenda kazi ya Bwana.

Mungu-Asema: „Nitakufunza na kukuonesha njia unayopaswa kufuata. Nitakushauri kwa uangalifu mkubwa.

Übersetzung wird geladen...

Zusätzliche APP Informationen

Aktuelle Version

Tafakari Injili Update anfordern 1.0

Von hochgeladen

Kumbhar Irfan

Erforderliche Android-Version

Android 4.1+

Available on

Erhalt Tafakari Injili auf Google Play

Mehr anzeigen

Was ist neu in der neuesten Version 1.0

Last updated on Feb 20, 2022

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Mehr anzeigen

Tafakari Injili Screenshots

Kommentar wird geladen...
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolgreich abonniert!
Sie haben jetzt APKPure abonniert.
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolg!
Sie sind jetzt unseren Newsletter abonniert.