Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies

Giới thiệu về Tafakari Injili

Jifunze neno la Mungu kwa njia ya Tafkari, Maswali na Masomo mbalibali.

Hii ni app ambayo imeandaliwa mahususi kwa lengo la kusaidia mkristo kukua kiroho kupitia vipengele mbalimbali vilivyo jumuishwa ndani yake ikiwa ni pamoja na Kipengele cha:

1: Aya Za Biblia

Hapa fishpata Aya mbalimbali za Biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani, Imani, Familia, Upendo, Ahadi za Mungu, Ulinzi wa MUngu, Uvumilivu, Kushinda Hofu n.k. Yote ikiwa na lengo la kuwasaidia namna ya kusimamia neno la Mungu kulingana na halia ama changamoto wanazopitia

2: Nukuu

Maneno mbalimbali kutoka kwa walimu wa mafundisho ya neno la Mungu na kutoka kwa watumishi mbalimbali wa Mungu ambayo yatatusaidia kusimama kiimani na kukuza imani yetu ndani ya Mungu katika Kristo Yesu.

3: Tafakari Fupi

Kutoka katika sura fulani ya biblia na kulingana na ROHO MTAKATIFU ​​atakavyotuongoza fishpata tafakari ya neno la Mungu ambayo inatupa uelewa wa kina kuhusu jamboani katika maisha, kwa leno la ma kukuza imani na kutupa niniwe tuka đã thấy Mungu.

4: Masomo

Tunatazamia kuwa na masomo yanayo husu maeneo mbalimbali katika Imani na maisha, ambayo yatakuwa na mtiririko mzuri kuanzia sehemu ya kwanza Hadi ya mwisho. Kwa mfano fishweza kuwa na masomo yanayohusu "IMANI", "NGUVU YA DAMU YA YESU", "MALANGO", "NDOA", "NAMZI NA FAMILIA" Hivyo kipengele hiki kitatoa fursa za kuelezea kwa kina zvipeidimbyo 7 mtiririko mzuri.

3: Aya ya siku / ujumbe wa siku

Kupitia app kila siku utakuwa unapokea Aya kutatoka sura tofauti tofauti za biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani, Imani, Familia, Upendo, Ahadi za Mungu, Ulinzi waila Hofu, Ulinzi waila Hou Yote ikiwa na lengo la kutiana moyo, kukumbusha ahadi a Mungu, kukumbusha maangizo ya Mungu na kwa ujumla thức kukuza Imani kama mtoto wa Mungu hasa kulinga na halifulani ya maisha ambayo mtu anapitia

Unaweza k đờmia aya hizi kumshirikisha ndugu, rafiki, jamaa na watu wengine, kuwainjilisha, kuwaongoza na kuwashauri ikiwa wapo kwenye uhitaji wa namna hiyo, tukizingatia kuwa wuwuwuwuwuwuwainjilisha yanaweza kuwasaidia kuvuka katika changamoto mbalimbali ama kuzitumia kumshinda shetani.

4: Trò chơi / mchezo

Hữu ni mchezo wa maswali na majibu kutoka katika sura mbalimbali za biblia, ambazo zimegawanyika katika makundi matatu,

- Moja maswali kutoka agano jipya,

- Pili maswali kutoka Agano la cải xoăn na

- Tatu mchanganyiko wa Maswali kutoka Agano jipya na la Kale.

Lengo kubwa ni kuongeza uelewa na ufahamu katika kusoma biblia Kwa watoto na watu Wazima pia ambao watakuwa na swali fulani ambalo wanaweza kujibu na kupima uelewa wao katika maandiko.

5: Ujumbe kwa njia ya Sauti

--Katika kipengele hiki Tunatazamia kuwa jumbe mbalimbali za neno la Mungu na masomo vitapatikana pamoja na Nyimbo za secure ambapo watu wanaweza kusikiliza na kupakua bila shida yoyote.

6: Kipengele Cha mawasiliano

Hapa tutajikita zaidi katika masuala ya Maoni, ushauri na maswali ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, Basi uwanja huu utamfaa sana.

Zab 54: 4

Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.

Flp 4:13

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.

Tuombeane katika kuitenda kazi ya Bwana.

Mungu asema: “Nitakufunza na kukuonesha njia unayopaswa kufuata. Nitakushauri kwa uangalifu mkubwa.

Đang tải bản dịch ...

Thông tin thêm Ứng dụng

Phiên bản mới nhất

Yêu cầu cập nhật Tafakari Injili 1.0

Được tải lên bởi

Kumbhar Irfan

Yêu cầu Android

Android 4.1+

Available on

Tải Tafakari Injili trên Google Play

Hiển thị nhiều hơn

Có gì mới trong phiên bản mới nhất 1.0

Last updated on Feb 20, 2022

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Hiển thị nhiều hơn

Tafakari Injili Ảnh chụp màn hình

Đang tải bình luận...
Đăng ký APKPure
Hãy là người đầu tiên có quyền truy cập vào bản phát hành, tin tức và hướng dẫn sớm của các trò chơi và ứng dụng Android tốt nhất.
Không, cám ơn
Đăng ký
Đăng ký thành công!
Bây giờ bạn đã đăng ký APKPure.
Đăng ký APKPure
Hãy là người đầu tiên có quyền truy cập vào bản phát hành, tin tức và hướng dẫn sớm của các trò chơi và ứng dụng Android tốt nhất.
Không, cám ơn
Đăng ký
Thành công!
Bây giờ bạn đã đăng ký nhận bản tin của chúng tôi.