Acerca del EliMu Ya AfYa
Pakua app hi kwa elimu y afya yako na kupata ushauri pamoja na kuijua afya yak
Elimu ya afya ni App ambayo ina makala zakutosha sana zitakazo kujuza kuhusu Afya. App hii ya Elimu ya Afya itakusaidia sana kujua mambo mengi ambayo huyajui kuhusu afya yako pia itakusaidia kuuweka mwili wako katika hali nzuri na kujua jinsi ya kuutunza mwili wako kupitia afya ata ukiwa nyumbani kwa kupakua app hii itakufanya kila siku kukupa makala mpya za afya. App hii inakupaa mambo mengi sana yausihayo na afya kama yafuatayo
Afya ya uzazi
Afya kuhusu magonjwa
Chakula bora
jinsi ya kufanya mazoezi kila siku
bila kusahau ushauri kuhusu afya yako
App hii pia itakufanya afya yangu na yako pia ziwe bora kila siku
Bila kusahau dondoo za afya pia utazipata apa ni mahali sahihi kwa afya yako ni bora uilinde afya yako.
pakua app hii upate kuishi ukiwa na afya bora kila siku.
Novedades más recientes 1.2
Información de EliMu Ya AfYa APK
Versiones Antiguas de EliMu Ya AfYa
EliMu Ya AfYa 1.2
EliMu Ya AfYa 1.1

Descarga rápida y segura a través de APKPure App
¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!