EliMu Ya AfYa

EliMu Ya AfYa

Star X
Feb 6, 2019
  • 7.5 MB

    Saiz Fail

  • Android 4.1+

    Android OS

Mengenai EliMu Ya AfYa

Pakua app hi kwa elimu ya afya yako na kupata ushauri pamoja na kuijua afya yak

Elimu ya afya ni App ambayo ina makala zakutosha sana zitakazo kujuza kuhusu Afya. App hii ya Elimu ya Afya itakusaidia sana kujua mambo mengi ambayo huyajui kuhusu afya yako pia itakusaidia kuuweka mwili wako katika hali nzuri na kujua jinsi ya kuutunza mwili wako kupitia afya ata ukiwa nyumbani kwa kupakua app hii itakufanya kila siku kukupa makala mpya za afya. App hii inakupaa mambo mengi sana yausihayo na afya kama yafuatayo

Afya ya uzazi

Afya kuhusu magonjwa

Chakula bora

jinsi ya kufanya mazoezi kila siku

bila kusahau ushauri kuhusu afya yako

App hii pia itakufanya afya yangu na yako pia ziwe bora kila siku

Bila kusahau dondoo za afya pia utazipata apa ni mahali sahihi kwa afya yako ni bora uilinde afya yako.

pakua app hii upate kuishi ukiwa na afya bora kila siku.

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 1.2

Last updated on Feb 6, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • EliMu Ya AfYa penulis hantaran
  • EliMu Ya AfYa syot layar 1
  • EliMu Ya AfYa syot layar 2
  • EliMu Ya AfYa syot layar 3
  • EliMu Ya AfYa syot layar 4
  • EliMu Ya AfYa syot layar 5

Versi lama EliMu Ya AfYa

APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya