Nyimbo za kristo Pro


1.0.1 por Robert Londo
16/01/2020

Sobre Nyimbo za kristo Pro

Nyimbo na ala 220 za kitabu cha Nyimbo za Kristo SDA

Soma au Kusikiliza Nyimbo za Injili au Nyimbo za Kristo kutoka kwenye Kitabu cha Nyimbo za Kristo SDA (SDA himnario). Nyimbo za dini zote zinapatikana bila kuwa na intanet (Desconectado)

Sikiliza ala za tenzi zaidi ya 125 bila intaneti (Desconectado)

UNAWEZA

★ Kuongeza nyimbo za dini uzipendazo kwenye orodha ya nyimbo za kristo pendwa

★ Kutafuta maneno au neno lolote kwenye aya za kitabu cha nyimbo za kristo sabato

★ Kupanga orodha ya nyimbo za kristo kwa kufuata alfabeti

★ Kuongeza ukubwa wa maadishi

★ Kubadili aina ya fonti za aya za kitabu cha Nyimbo za Kristo

★ Nyimbo za Kristo Audio

★ Nyimbo za Kristo SDA Kiswahili

★ Nyimbo za dini

Información Adicional de Aplicación

Última Versión

1.0.1

Requisitos

4.1

Mostrar más

Alternativa de Nyimbo za kristo Pro

Obtenga más de Robert Londo

Descubrir