Nyimbo za kristo Pro


1.0.1 توسط Robert Londo
16/01/2020

درباره‌ی Nyimbo za kristo Pro

Nyimbo na ala 220 za kitabu cha Nyimbo za Kristo SDA

Soma au Kusikiliza Nyimbo za Injili au Nyimbo za Kristo kutoka kwenye Kitabu cha Nyimbo za Kristo SDA (SDA Hymnal). Nyimbo za dini zote zinapatikana bila kuwa na intanet (Offline)

Sikiliza ala za tenzi zaidi ya 125 bila intaneti (Offline)

UNAWEZA

★ Kuongeza nyimbo za dini uzipendazo kwenye orodha ya nyimbo za kristo pendwa

★ Kutafuta maneno au neno lolote kwenye aya za kitabu cha nyimbo za kristo sabato

★ Kupanga orodha ya nyimbo za kristo kwa kufuata alfabeti

★ Kuongeza ukubwa wa maadishi

★ Kubadili aina ya fonti za aya za kitabu cha Nyimbo za Kristo

★ Nyimbo za Kristo Audio

★ Nyimbo za Kristo SDA Kiswahili

★ Nyimbo za dini

اطلاعات تکمیلی برنامه

آخرین نسخه

1.0.1

نیاز به اندروید

4.1

نمایش بیشتر

جایگزین Nyimbo za kristo Pro

از Robert Londo بیشتر دریافت کنید

کشف کنید