دربارهی Mwanzafrika
Habari, Magazeti, Elimu, Afya, Ajira, Matukio ya Kihistoria na Vipindi vya Radio
Mwanzafrika App ni App inayokupatia Habari Mbalimbali zikiwemo za : Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Uchumi na Biashara. Vilevile App hii Inakupa Fursa ya Kujua Matukio ya Kihistoria Yaliyokwisha Kutokea Ndani na Nje ya Nchi Bila Kusahau Hadithi na Riwaya Tamu. Vilevile Utaweza Kupata Dondoo mbalimbali za Afya na Kusikiliza Vipindi Mbalimbali vya Radio
App Hii Imegewanyika katika sehemu zifuatazo:
Habari
Ajira & Elimu
Afya
Hadithi & Riwaya
Magazeti
Leo Katika Historia
Usiache Kupakua App Hii.
جدیدترین 8.2 چه خبر است
Last updated on 16/05/2018
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
اطلاعات Mwanzafrika APK
ایمن و سریع APK دانلود در APKPure
APKPure از تأیید امضای نرمافزار برای اطمینان از دانلودهای بدون ویروس APK Mwanzafrika استفاده میکند.

دانلود فوق سریع و ایمن از طریق برنامه APKPure
برای نصب فایل های XAPK/APK در اندروید با یک کلیک!