SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M


1.0 توسط John Ukiruguru
04/02/2021

درباره‌ی SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M

App inayokupatia taarifa muhimu za Wekundu Wa Msimbazi na Michezo Yote

SSC OFFICIAL APP inakupatia matokeo, mechi na ratiba za klabu ya simba sports club ama wekundu wa msimbazi moja kwa moja kupitia simu yako.

SSC OFFICIAL APP ni kiunganishi cha mashabiki wa wekundu wa msimbazi Tanzania na Dunian katika kukuletea habari za soka la Tanzania na afrika hususan ukanda wa Kenya Uganda Congo na Afrika kwa ujumla.

SSC OFFICIAL APP pia inakupatia matukio yanayojiri kwenye ligi kubwa ulimwenguni ikiwemo La Liga, English Premier League, Ligue One, Seriea A na kutoka kwenye vilabu vikubwa ikiwemo Manchester united, liverpool Chelsea Arsenal Real Madrid Barcelona n.k

Kupitia SSC OFFICIAL APP sasa unaweza kufikiwa na habari na matukio yote muhimu yanayoendelea katika ulimwengu wa michezo. Yanga, Simba Ligi kuu ya vodacom na Vilabu vingine vingi utapata habari zake na matukio kwa haraka na uhakika.

SIMBA SPORTS CLUB | MABINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

SIMBA SPORTS CLUB | CHAMPIONS BACK TO BACK

جدیدترین چیست در نسخه‌ی 1.0

Last updated on 22/04/2021
Stable Release

اطلاعات تکمیلی برنامه

آخرین نسخه

1.0

بارگذاری شده توسط

Abdelrahman Remah

نیاز به اندروید

Android 5.0+

نمایش بیشتر

جایگزین SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M

از John Ukiruguru بیشتر دریافت کنید

کشف کنید