SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M


1.0 door John Ukiruguru
Feb 4, 2021

Over SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M

App inayokupatia taarifa muhimu za Wekundu Wa Msimbazi na Michezo Yote

SSC OFFICIËLE APP inakupatia matokeo, mechi na ratiba za klabu ya simba sportclub ama wekundu wa msimbazi moja kwa moja kupitia simu yako.

SSC OFFICIËLE APP ni kiunganishi cha mashabiki wa wekundu wa msimbazi Tanzania na Dunian katika kukuletea habari za soka la Tanzania na afrika hususan ukanda wa Kenia Oeganda Congo na Afrika kwa ujumla.

SSC OFFICIËLE APP pia inakupatia matukio yanayojiri kwenye ligi kubwa ulimwenguni ikiwemo La Liga, Engelse Premier League, Ligue One, Seriea A na kutoka kwenye vilabu vikubwa ikiwemo Manchester United, Liverpool Chelsea Arsenal Real Madrid Barcelona n.k

Kupitia SSC OFFICIËLE APP sasa unaweza kufikiwa na habari na matukio yote muhimu yanayoendelea katika ulimwengu wa michezo. Yanga, Simba Ligi kuu ya vodacom naar Vilabu vingine vingi utapata habari zake na matukio kwa haraka na uhakika.

SIMBA SPORTCLUB | MABINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

SIMBA SPORTCLUB | KAMPIOENEN RUG AAN RUG

Wat is er nieuw in de nieuwste versie 1.0

Last updated on Apr 22, 2021
Stable Release

Aanvullende APP -informatie

Laatste Versie

1.0

Geüpload door

Abdelrahman Remah

Android vereist

Android 5.0+

Meer Info

Use APKPure App

Get SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M old version APK for Android

Downloaden

Use APKPure App

Get SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M old version APK for Android

Downloaden

SSC OFFICIAL APP (WEKUNDU WA M Alternatief

Krijg meer van John Ukiruguru

Ontdekken