Twiga
7.0 and up
Android OS
دربارهی Twiga
Twiga inakupatia huduma zote zinazopatikana katika mitandao sehemu moja,
Twiga inakupatia huduma zote zinazopatikana katika mitandao ya kijamii maarufu katika sehemu moja, Alafu inakuondolea vikomo na mipaka ili ufurahie bila kikomo wala mipaka.
Habari(News Feed)
Kukufahamisha zaidi, Twiga inatoa habari, sasisho, na malisho ambayo hupunguza nyanja zote za maisha yetu ya kila siku kama siasa, afya, michezo, muziki, mitindo, na mengine mengi.
Hadithi(Stories)
Twiga inakupa nafasi ya kushea hadithi na watu wako wa muhimu.
Maongezi(Chats)
Twiga inaimarisha ushirikiano wa kijamii na kupitia huduma za kibubunifu kwa mazungumzo ya mtu mmoja kwenda kwa mwengine, mazungumzo ya kikundi, hadithi na kubadilishana na uzoefu huku ikikuwezesha kusambaza kila aina ya media kama picha, video, sauti, faili, na media zingine za mbalimbali.
جدیدترین 0.7.3 چه خبر است
دانلود فوق سریع و ایمن از طریق برنامه APKPure
برای نصب فایل های XAPK/APK در اندروید با یک کلیک!