Tentang Matumizi
Ni aplikasi inayotumika kupanga bajeti na kufuatilia matumizi yako ya Kila siku.
Ni app inayotumika kupanga na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Utaweza kupanga bajeti ya mwezi na kutunza raarifa za mapato na matumizi.
Itakusaidia kuwa na nidhamu ya pesa na kukuwezesha kupangilia vyema matumizi yako.
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) zako za Matumizi zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.
Asante na Karibu Sana !
What's new in the latest 0.0.9
Last updated on 2019-03-28
Hii ni App Inayokusaidia Kufuatilia Matumizi Yako. Utaweza Kupanga Bajeti na Kutunza Matumizi na Mapato Yako. App hii itakusaidia Kudhibiti Matumizi Yako. Asante na Karibu Sana.!
Informasi APK Matumizi
Unduh APK dengan Aman dan Cepat di APKPure
APKPure menggunakan verifikasi tanda tangan untuk memastikan unduhan APK Matumizi yang bebas dari virus untuk Anda.
Versi lama Matumizi
Matumizi 0.0.9
9.8 MBMar 28, 2019
Matumizi 0.0.8
10.5 MBSep 10, 2018
Matumizi 0.0.5
10.5 MBMay 18, 2018

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure
Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!