關於Matumizi
倪應用inayotumika kupanga bajeti吶kufuatilia matumizi夜光雅基拉四庫。
Ni app inayotumika kupanga na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Utaweza kupanga bajeti ya mwezi na kutunza raarifa za mapato na matumizi.
Itakusaidia kuwa na nidhamu ya pesa na kukuwezesha kupangilia vyema matumizi yako.
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (data) zako za Matumizi zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.
Asante na Karibu Sana !
最新版本0.0.9的更新日誌
Last updated on 2019年03月28日
Hii ni App Inayokusaidia Kufuatilia Matumizi Yako. Utaweza Kupanga Bajeti na Kutunza Matumizi na Mapato Yako. App hii itakusaidia Kudhibiti Matumizi Yako. Asante na Karibu Sana.!
Matumizi歷史版本
Matumizi 0.0.9
9.8 MB2019年03月28日
Matumizi 0.0.8
10.5 MB2018年09月11日
Matumizi 0.0.5
10.5 MB2018年05月18日







