Tanzania Tech : Kwa Habari za Teknolojia

  • 15.9 MB

    फाइल का आकार

  • Android 4.2+

    Android OS

Tanzania Tech : Kwa Habari za Teknolojia के बारे में

अनुप्रयोग Namba # 1 फिर Habari ZA Teknolojia तंजानिया।

Tanzania Tech ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Tanzania Tech inasaidia jamii kuelewa kwa undani kuhusu Teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Bado tunaendela kuboresha programu yetu pamoja na kuongeza vipengele vipya ili kuhakikisha kuwa hupitwi na Habari yoyote ya Teknolojia. Unaweza kujiunga kwenye mijadala mbalimbali ya teknolojia kupitia tovuti yetu bofya hapa Tanzania Tech .

अधिक दिखाएंकम दिखाएं

What's new in the latest 2.6.2

Last updated on 2021-05-02
Notification fix

APKPure ऐप के माध्यम से सुपर तेज़ और सुरक्षित डाउनलोडिंग

एंड्रॉइड पर XAPK/APK फ़ाइलें इंस्टॉल करने के लिए एक-क्लिक करें!

डाउनलोड APKPure