APKPure で安全で高速な APK のダウンロード
APKPure は署名検証を使用して、ウイルスフリーの Tanzania Tech : Kwa Habari za Teknolojia APK ダウンロードを保証します。
アプリ難波#1屋Habari ZA Teknolojiaタンザニア。
Tanzania Tech ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Tanzania Tech inasaidia jamii kuelewa kwa undani kuhusu Teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Bado tunaendela kuboresha programu yetu pamoja na kuongeza vipengele vipya ili kuhakikisha kuwa hupitwi na Habari yoyote ya Teknolojia. Unaweza kujiunga kwenye mijadala mbalimbali ya teknolojia kupitia tovuti yetu bofya hapa Tanzania Tech .